Budget kubwa hii kama unataka no nonsense laptop ambayo ukaaji chaji ni kawaida ila perfomamce kubwa, most of time utaitumia ndani chukua Gaming laptop yenye i5 ama i7 inayoishiwa na H ama ryzen 5 ama 7 inayoishiwa na H.
Mfano Ryzen 5600H, 5800H ama i5 10500H etc.
Pia iwe na Dedicated gpu GTx 1650, rtx 3050, etc.
Kama hii
DELL GAMING LAPTOP DELL INSPIRON 5510 15 CORE I5 10500H 8GB RAM MEMORY 512GB SOLID STATE HDD15.6 SCREEN NVIDIA GTX 1650
computer.co.tz
Kama unataka laptop inayokaa na chaji, portable (ultrabook) na perfomance sio kubwa kama juu hapo lakini still inafanya kazi zako vizuri tafuta i5 ama i7 ama ryzen 5 na 7 ila hizi ziwe zinaishiwa na U ama G. Pia zinakuwa na Graphics card zenye neno MX mfano Nvidia Mx 450, mx550, Mx 350 etc.
Kama hii
DELL VOSTRO LAPTOP 3510 GAMING Intel Core i7-1165G7 (12M Cac
computer.co.tz
Pia una option ya kuangalia mtaani unaweza pata refurb around 1m, ama kuagizishia mwenyewe Amazon direct.
Kama hii
Amazon product ASIN B08C81JT39