Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Γipo na core i7 8th generation .Unacheki hii mashine chini?
View attachment 2186005
Hii ni bongeee moja la mashine. Achana na takataka zingine. Nenda Kariakoo lipia 2,800,000/= beba ondoka nayo.
Ukifika nyumban, install VS code, Netbeans, Pycharm na Sublime.
Kisha anza kuchapa code.
View attachment 2185995
Brand: HP 15 DA0019
Processor: Core i7 10th Gen.
Clock Speed: 4.6 GHz
RAM: 32 GB
Storage: 1 TB (250 SSD, 750 HDD)
Screen size: 15"
Graphics: NVIDIA GEFORCE 4 GB
Mama Debora
Mwanamke pekee nayecheza na software development hapa JF.
Minimum win 11 ni 8th gen, hivyo cheap machine ni i3 8th gen. Budget kiasi gani?Habari kama kichwa kinavyojieleza ni PC gani nzuri kwa ajili ya mambo ya software development (coding) ambayo itakuwa chap plus inaweza kuinstall windows 11 bila kuedit file zake yaan full supported.
Ahsante.
Hata kama ni 2 MilMinimum win 11 ni 8th gen, hivyo cheap machine ni i3 8th gen. Budget kiasi gani?
angalia hii pia:Habari kama kichwa kinavyojieleza ni PC gani nzuri kwa ajili ya mambo ya software development (coding) ambayo itakuwa chap plus inaweza kuinstall windows 11 bila kuedit file zake yaan full supported.
Ahsante.
Nakukubali sana ππpande hizoUnacheki hii mashine chini?
View attachment 2186005
Hii ni bongeee moja la mashine. Achana na takataka zingine. Nenda Kariakoo lipia 2,800,000/= beba ondoka nayo.
Ukifika nyumban, install VS code, Netbeans, Pycharm na Sublime.
Kisha anza kuchapa code.
View attachment 2185995
Brand: HP 15 DA0019
Processor: Core i7 10th Gen.
Clock Speed: 4.6 GHz
RAM: 32 GB
Storage: 1 TB (250 SSD, 750 HDD)
Screen size: 15"
Graphics: NVIDIA GEFORCE 4 GB
Mama Debora
Mwanamke pekee nayecheza na software development hapa JF.
kiboko ya madalali...Wanaume bana..
eti mume wangu jana kanitoa out dinner baada ya kunikuta niko frustrated na ku-debug errors kwenye prototype ya system nayoitengeneza.
View attachment 2186010
Tumerudi home, yeye kafikia kulala mie nikafikia kwenye computer... Pambana sana na errors mpaka nikafanikiwa kuziondoa.
*Coding life is very fun!
πππWanaume bana..
eti mume wangu jana kanitoa out dinner baada ya kunikuta niko frustrated na ku-debug errors kwenye prototype ya system nayoitengeneza.
View attachment 2186010
Tumerudi home, yeye kafikia kulala mie nikafikia kwenye computer... Pambana sana na errors mpaka nikafanikiwa kuziondoa.
*Coding life is very fun!
Budget kubwa hii kama unataka no nonsense laptop ambayo ukaaji chaji ni kawaida ila perfomamce kubwa, most of time utaitumia ndani chukua Gaming laptop yenye i5 ama i7 inayoishiwa na H ama ryzen 5 ama 7 inayoishiwa na H.Hata kama ni 2 Mil
AhsanteBudget kubwa hii kama unataka no nonsense laptop ambayo ukaaji chaji ni kawaida ila perfomamce kubwa, most of time utaitumia ndani chukua Gaming laptop yenye i5 ama i7 inayoishiwa na H ama ryzen 5 ama 7 inayoishiwa na H.
Mfano Ryzen 5600H, 5800H ama i5 10500H etc.
Pia iwe na Dedicated gpu GTx 1650, rtx 3050, etc.
Kama hii
DELL GAMING LAPTOP DELL 5510 15 CORE I5 - Capricorn Technologies
DELL GAMING LAPTOP DELL INSPIRON 5510 15 CORE I5 10500H 8GB RAM MEMORY 512GB SOLID STATE HDD15.6 SCREEN NVIDIA GTX 1650computer.co.tz
Kama unataka laptop inayokaa na chaji, portable (ultrabook) na perfomance sio kubwa kama juu hapo lakini still inafanya kazi zako vizuri tafuta i5 ama i7 ama ryzen 5 na 7 ila hizi ziwe zinaishiwa na U ama G. Pia zinakuwa na Graphics card zenye neno MX mfano Nvidia Mx 450, mx550, Mx 350 etc.
Kama hii
DELL VOSTRO LAPTOP 3510 GAMING - Capricorn Technologies
DELL VOSTRO LAPTOP 3510 GAMING Intel Core i7-1165G7 (12M Caccomputer.co.tz
Pia una option ya kuangalia mtaani unaweza pata refurb around 1m, ama kuagizishia mwenyewe Amazon direct.
Kama hii
Amazon product ASIN B08C81JT39
Pc ya kwa ajili ya programming blaza, inategemea unataka kutumia kwa nini, kama ni web apps tu, pc yeyote yenye 4Gb Ram, 1.5 Ghz....itafanya.Habari kama kichwa kinavyojieleza ni PC gani nzuri kwa ajili ya mambo ya software development (coding) ambayo itakuwa chap plus inaweza kuinstall windows 11 bila kuedit file zake yaan full supported.
Ahsante.
Hujataja Bei inauzwajePc ya kwa ajili ya programming blaza, inategemea unataka kutumia kwa nini, kama ni web apps tu, pc yeyote yenye 4Gb Ram, 1.5 Ghz....itafanya.
.
Android application ni expensive kidogo minimum 8 Gb ram, lakini recomended ni 12Gb Ram. at least 2.5 GHZ.