Nahitaji usaidizi...pc yangu dell mini kila aina ya usb nilizojarib hazisomi zinachaji tu. Namaanisha data cable halafu nikiwasha inachukuwa muda mrefu sana kuonyesha window ili niweke nywira niingie. Tatizo nini