Mkuu mimi mwenyewe pia nahakika hatua ya kupiga window ina asilimia kubwa za kuleta mabadiliko, ila humu kuna program na vitu vyangu vingi ambavyo imenichukua muda mrefu kuviweka.
Na hata nikipiga leo windows nitakuwa nimepoteza mambo mengi na kuyarudisha ni swala la muda tena