Cassablanca
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 324
- 590
Nilikueleza siwezi kueleza ninaishi wapi. Lakini hata kama ninaishi Mbagala rangi 3, sio big issue kwangu. Kitu ninacho kizingatia huwa ni standard ya nyumba niishiyo na miundombinu.Nitatembelea Duniani mkuu.
Kwa hyo Laptop ya milioni 4 unalala nayo buza??
Jioni njemaNilikueleza siwezi kueleza ninaishi wapi. Lakini hata kama ninaishi Mbagala rangi 3, sio big issue kwangu. Kitu ninacho kizingatia huwa ni standard ya nyumba niishiyo na miundombinu.
Karibu tena mkuu, nasisitiza TUTEMBEE TUJIFUNZE ZAIDIJioni njema
Hata mm nimejifunza kwako mkuuKaribu tena mkuu, nasisitiza TUTEMBEE TUJIFUNZE ZAIDI
IpoMkuu, imeondoka au bado? Ninayo ofa yako
Hatuamini anayoeleza jamaa bana ahakikishe hilo kwakununua hii PC bila ya hivo muongoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mm nimejifunza kwako mkuu
Hatuamini anayoeleza jamaa bana ahakikishe hilo kwakununua hii PC bila ya hivo muongoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwisho bei gan?