IKEMEFUNAOKONKWO
Member
- Nov 8, 2018
- 15
- 0
KaribuNi samsung galaxy tab 10.1
Inaukubwa wa 10inch/7.5inch
Inatumia lain/wifi
Inatuma sms na 4G net.
Camera nzuri
BEI 300K
CONT
0787101726
KARIBUNI
Ni samsung galaxy tab 10.1
Inaukubwa wa 10inch/7.5inch
Inatumia lain/wifi
Inatuma sms na 4G net.
Camera nzuri
BEI 300K
CONT
0787101726
KARIBUNI
Haipigi simu but inatuma na kupokea smsIna access ya kupiga/kupokea simu!
We lama huna pesa tulia acha kua na maneno ya ovyo kama hivyo ktika biashara za watu!Hivi hizi hela unafikiri tunaokota? Kifaa kimepitwa na wakati na kimechakaa namna hii umuuzie nani laki 3? Eti "PC Tablet"? Nani kakwambia ina sifa ya PC wakati inatumia ancient Android OS 4.0.4? Katoe msaada kwa kituo cha watoto yatima wachezee games maana hii ni toy tu sasa.
Hiyo kitu nilitaka kuichukua kabla sijaangalia review yake Samsung P7500 Galaxy Tab 10.1 3G - User opinions and reviews, Kwa kweli atanunua asiyefahamu haya makitu na ndio maana imeshafunguliwa nyuzi kibaoHivi hizi hela unafikiri tunaokota? Kifaa kimepitwa na wakati na kimechakaa namna hii umuuzie nani laki 3? Eti "PC Tablet"? Nani kakwambia ina sifa ya PC wakati inatumia ancient Android OS 4.0.4? Katoe msaada kwa kituo cha watoto yatima wachezee games maana hii ni toy tu sasa.
Thamani yake halisi kwa vile imetumika haizidi elfu 50, na hiyo ni kama betri inashika chaji.Hiyo kitu nilitaka kuichukua kabla sijaangalia review yake Samsung P7500 Galaxy Tab 10.1 3G - User opinions and reviews, Kwa kweli atanunua asiyefahamu haya makitu na ndio maana imeshafunguliwa nyuzi kibao
View attachment 947307