Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Wakuu habari zenu.
Nina laptop aina ya Dell ambayo nimekuwa nikiitumia kwa muda mrefu sasa. Siku nne zimepita ambapo nilipomaliza kuitumia, nikaizima kama kawaida. Sasa jana mchana nikataka kuiwasha ili niitumie katika kazi zangu kama kawaida.
Lakini cha ajabu nikashangaaa kila nikibonyeza ile button ya kuwashia, PC haiwaki. Na mbaya zaidi hakuna mwanga wowote unaojionyesha katika monitor, au sehemu yoyote ile ya PC.
Nimejaribu kutoa betri na kudisconnect adapter kisha kubonyeza button ya kuwashia kwa muda wa 30 seconds then nikaconnect na kuiwasha tena PC lakini hakuna nilichofanikiwa.
Wajuzi naomba msaada.