Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Ime expire hiyo mkuu. Kanunue nyingineWakuu habari zenu.
Nina laptop aina ya Dell ambayo nimekuwa nikiitumia kwa muda mrefu sasa. Siku nne zimepita ambapo nilipomaliza kuitumia, nikaizima kama kawaida. Sasa jana mchana nikataka kuiwasha ili niitumie katika kazi zangu kama kawaida.
Lakini cha ajabu nikashangaaa kila nikibonyeza ile button ya kuwashia, PC haiwaki. Na mbaya zaidi hakuna mwanga wowote unaojionyesha katika monitor, au sehemu yoyote ile ya PC.
Nimejaribu kutoa betri na kudisconnect adapter kisha kubonyeza button ya kuwashia kwa muda wa 30 seconds then nikaconnect na kuiwasha tena PC lakini hakuna nilichofanikiwa.
Wajuzi naomba msaada.
Dah! Ime expire nini? Betri au computer kiujumla?Ime expire hiyo mkuu. Kanunue nyingine
Nashukuru kwa maelekezo, labda nijaribu kwa kutumia digital meter, sababu njia ya kwanza bado haijaleta mafanikio.Either battery haijakas sawa ama adapter imekufa. Chomoa betri then washa bila betry chomeka tu adapter, ama la chukua digital meter pima contiunity
Mkuu! Ndiyo maana ya kuja huku ili kuwaona ninyi watalamu.Una ubakika iyo adapter yako ni nzima ??
Toa battery weka pembeni,
Chomeka adapter kwenye laptop jaribu kuiwasha kwa kutumia umeme wa direct kutoka kwenye adapter..
Ikiwaka ujue battery yako ni mbovu.
Wenzenu tunasoma haya mambo darasan nyie mwataka kuelekezwa bure..sawa lakini.
Jaribu hiyo njia ikishindikana nakupa njia nyingine
Poa, nitaleta mrejesho.Mkuu una uhakika na adapter yako kwamba ni nzima ?
Ulizima battery ilikua na charge asilimia ngap ?
Jaribu kwanza hiyo adapter kwenye pc nyingine uone kama inafanya kazi au azima adapter nyingine jaribu kwenye pc yako..
Kabla hatujaenda kufanya checkup kubwa lazima tujiridhishe na vitu vdogo vdogo kwanza.
Huenda shida ipo kwa boot loader au motherboard..
Habari mkuu... naomba msaada hapavMkuu una uhakika na adapter yako kwamba ni nzima ?
Ulizima battery ilikua na charge asilimia ngap ?
Jaribu kwanza hiyo adapter kwenye pc nyingine uone kama inafanya kazi au azima adapter nyingine jaribu kwenye pc yako..
Kabla hatujaenda kufanya checkup kubwa lazima tujiridhishe na vitu vdogo vdogo kwanza.
Huenda shida ipo kwa boot loader au motherboard..
Naona chenga tu.Petroli uliyotumia una hakika haijachakachuliwa?
nenda oilcom au ile sheli pale mbele nunua kidumu cha mafuta taa
mwagia rudia kuwasha tena,isipowaka Achana nayo.siku zake hazijafika.