PC yangu mbona kama umeiwasha unatumia halafu ukaicha kwa muda kidogo ikiwa monitor screen ipo "on" baadae inazima ila mashine inavuma sasa ukirudi ukabonyeza keyboard yoyote ili iwake na kudisplay kama ulivyoiacha haiwaki yani mpaka utumie power button tena uizime moja kwa moja halafu ndio uiwashe tena?