Daktari wa Manchester
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 350
- 403
Unasoma ila Mambo yanabaki kua magum vile vile pia unaweza ukasoma ila mtihani utakavyo kuja ni hatarKidato 🤣🤣🤣🤣....
Pambana dogo hilo jina daktari utalikataa sio mda, Elimu haina formula soma tu kwa juhudi hamna mteremko.
Physics angalau ila chemistry ndio ngumu labda ni mwanzoMbona chemistry ni nyepezi hasa chemical equlibrium,chemical kinetics,organic chemisty soil chemistry unafeli vp dogo ungesema PHY hapo kweli
Physics angalau ila chemistry ndio ngumu labda ni mwanzoMbona chemistry ni nyepezi hasa chemical equlibrium,chemical kinetics,organic chemisty soil chemistry unafeli vp dogo ungesema PHY hapo kweli
Chemistry huwa wanafeli kwa kutoipenda. Hili tatizo hasa wanalo PCMChemistry ndo somo jepesi kusoma hadi kufaulu mtihani hapo kwenye PCB..
Dogo kuwa serious utazungusha..
Form Five muda bado unao. Likizo yenu inaisha sijui uko mkoa gani unasomea na unakuwa likizo wapi. Ungepiga papers za kujiinua na tuitions za kukubeba kama walimu hawako vizuri sana shuleni.
Kama walimu wako poa ila wewe ndio huelewi piga disc na watu wanaojua afu kuwa na vitini vyako unavyotumia wala usichanganye materials.
Mimi nilisoma kwa Issue Boy (Josephat) Biology na Chemistry kisha Mgote Physics. Organic nilisoma ya Ngaiza imejaza kila kitu afu Inorganic nilisoma ya Issue Boy. Yani ukichanganya madesa hutoboi utachanganyikiwa. Kuna muda nilikuwa sisomi notes za mwalimu ambaye alikuwa vizuri sana kwa vile nishasoma kwingine, kwake nafanya mifano aliyotoa nikiipiga nishamuelewa, nisipoelewa najua nalag behind. Unaweza soma sana afu kumbe tactics mbovu.
Ni kawaida sana kukata tamaa ukiwa A level. Ila ni kawaida sana tena sana kupindua meza, hili wengi niliona waliweza. Jiulize una mademu, shule mnabanwa au mnazurula mitaani, unalewa au kuvuta, unashiriki makandokando kama dancing, kuwa mtumishi kupitiliza au mpira. Punguza baadhi ya vitu vinavyokula muda.
Usiwe na mkumbo wala kujilinganisha na watu kwenye kipato, uwezo kiakili, muda wa kusoma na mengine. Pia kuwa emotional stable, sio leo umeachika kwa Winnie mara Jane anakuzingua, kesho umekamatwa na simu au umetoroka ukaitwa kwa discipline master. Zoea kwenda dini ila usifie uko, kuna majinga yalikuwa yanalala kanisani eti yanalinda vyombo.
Ningeshauri mengi kama ningekuuliza kwanza afu nikajua situation. Ila hapa nimepiga kiujumla. Mimi nilikuwa na kasoro ila zilikuwa zinazidiwa na mchanganyiko wa mambo mazuri mengi.
View attachment 1744149
Chemistry huwa wanafeli kwa kutoipenda. Hili tatizo hasa wanalo PCM
Unasema...?Physics angalau ila chemistry ndio ngumu labda ni mwanzo
Organic ya issue boy ya watu wavivu hii...🤣🤣🤣..tuliipenda sisi wavivuForm Five muda bado unao. Likizo yenu inaisha sijui uko mkoa gani unasomea na unakuwa likizo wapi. Ungepiga papers za kujiinua na tuitions za kukubeba kama walimu hawako vizuri sana shuleni...
Ilikuwa hairidhishi ila unajua nini Issue Boy alikuwa anafundisha vizuri Organic kuliko Ngaiza amini usiamini ila Ngaiza alikuwa ana notes nzuri za Organic. Niliisoma kwa Issue Boy ila hata mwenyewe alisema kuandika notes ni kipaji kama unaona notes zake huelewi ni vema ukatumia za Ngaiza.Organic ya issue boy ya watu wavivu hii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..tuliipenda sisi wavivu
Kama combination yenyewe ilivyo People Confusing Brain(PCB) inatakiwa uvute soksi mkuuKama kichwa Cha habari hapo juu kinavyoeleza .jamani ndugu wanna jf nilikua naomba ushauri jinsi gani nitaweza kuovercome hi depression na hii combination mana hata nikisoma naona Mambo yanaenda tofauti hususani kwenye chemistry .naomba ushauri wenu Mimi nipo kidato Cha tano
Waliokuwa wanaibuka na kutoboa ni mbinu walikuwa wanakosa. Wengine uwezo mdogo sijui wanasahau haraka, kusoma kwingi mambo wanayo machache ila wanazingua.Siwezi kukwambia ukomae sana koz nimesoma advance hyo hyo combination wapo waliokua wakikomaa sana kusoma ila hawa kua na matokeo mazuri cha msingi angalia results kama hazi rizishi kila siku tafuta mbadala usikomae na hicho kitu
Hama combination bado mapema au anza na udaktari ngazi ya cheti na diploma
Ilikuwa hairidhishi ila unajua nini Issue Boy alikuwa anafundisha vizuri Organic kuliko Ngaiza amini usiamini ila Ngaiza alikuwa ana notes nzuri za Organic. Niliisoma kwa Issue Boy ila hata mwenyewe alisema kuandika notes ni kipaji kama unaona notes zake huelewi ni vema ukatumia za Ngaiza.
Ila walimu wa tuition walikuwa balaa unafyatua swali from nowhere unakuja kumkomoa kabla hajalijibu anakwambia ulikolipata na limetoka kwenye mtihani gani.