PCB na LAW?

PCB na LAW?

Unasoma, angalia entrance qulification za chuo husika unakotaka kusoma.
 
TCU wanajua mahali pakukupeleka.
Kuwa mpole.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
UZEMBE MWINGINE BHANA KAMA ULIKUWA NA MALENGO YA LL,b[LEX LEGIS BACARALEOUS ] SI UNGECHUKUA HGL,HKL,HGK,&HGE DAH
 
Combination yoyote ile unaweza kusoma Law ila sharti uwe ulifanya vizuri somo la Kiingereza O level walau kwa kiwango cha C.....na cut off points za TCU na Chuo husika
 
help plzzzz....kuna uwekano wa mtu aliesoma PCB advanced kusoma Law chuo?? au combination yoyote ya science then usome law??
as far as una div 1 nzuri vyuo kama udsm na mzumbe unapata vizuri sana!!!!! inshort it's possible....
 
Combination yoyote ile unaweza kusoma Law ila sharti uwe ulifanya vizuri somo la Kiingereza O level walau kwa kiwango cha C.....na cut off points za TCU na Chuo husika

Pamoja na credit ya History O-level.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Fani unazotaka kusoma ndio fani ghali duniani katika kusomea yaani sheria na medicini.Ushauri wangu kama unaweza kusoma medicine bora usome tu.maana ukija sheria uwe na uwezo wa kujenga hoja inayolindwa na sheria na ushahidi.pili,sheria inamfunza mtu ajue swali moja linaweza kuwa na majibu hata matatu ndio maana kuna upande wa utetezi,mashtaka na muamuzi(hakimu au jaji).sitaki kuingia katika ubishani wa chuo gani ni bora maana kuna mindset zinawaza kianalogi zaidi.na kama unataka sheria ujiandae kiakili na kifedha maana kuna mwaka mmoja wa law school.
 
Fani unazotaka kusoma ndio
fani ghali duniani katika kusomea yaani sheria na medicini.Ushauri wangu
kama unaweza kusoma medicine bora usome tu.maana ukija sheria uwe na
uwezo wa kujenga hoja inayolindwa na sheria na ushahidi.pili,sheria
inamfunza mtu ajue swali moja linaweza kuwa na majibu hata matatu ndio
maana kuna upande wa utetezi,mashtaka na muamuzi(hakimu au jaji).sitaki
kuingia katika ubishani wa chuo gani ni bora maana kuna mindset zinawaza
kianalogi zaidi.na kama unataka sheria ujiandae kiakili na kifedha
maana kuna mwaka mmoja wa law school.

lakn, from ua point ov view,chuo gani ndo da best kwa law??
 
UZEMBE MWINGINE BHANA KAMA ULIKUWA NA MALENGO YA LL,b[LEX LEGIS BACARALEOUS ] SI UNGECHUKUA HGL,HKL,HGK,&HGE DAH
Mkuu mpigamsuli,kirefu cha LL.B. sicho ulichokiandika. Kirefu chake ni Legum Baccalaureus yaani Bachelor of Legal Science. Kuhusu mada,sasahivi UDSM hawachukui yeyote asiye na History A Level. Hivyobasi, michepuo ya HGL,HGK,HKL na HGE ndiyo inayotoa wanafunzi pale UDSM-Law. Ndio kusema,PCB hawezi kusoma sheria pale UDSM kwasasa.Sijui kuhusu vyuo vingine.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom