PCCB wanazidi kuvuliwa nguo tu kwamba hakuna wanachofanya zaidi ya kukaa ofisini tu na kungoja wizi wa kuku

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Rushwa kwa sasa tanzania ipo nje nje na tena inasemwa hadharani as if hatuna takukuru tena.

Ona chama cha chadema kinavyojaa rushwa tena nyingine kutika kwa abdul lakini takukuru kimya.

Rushwa iko wazi wazi lakini takukuru kimya. Lisu anaonesha mpaka mifano ya rushwa ndani ya chama lakini takukuru kimya.

Bora takukuru ifutwe unless kama ni mradi wa wakubwa basi itaendelea.
 
tungekuwa na Bunge, kwa maana ya Bunge, lingejadili kufuta sheria ilioanzisha TAKUKURU. Maana hizi Taasisi za hivi ni hasara kwa Taifa. Madeni yanatuelemea kwa mishe za kipuuzi.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Ona chama cha chadema kinavyojaa rushwa tena nyingine kutika kwa abdul lakini takukuru kimya.
Hapo kwa Abdul ni pagumu mkuu. Mwana Takukuru ataanzaje? Akigusa tu kutumbuliwa kunamhusu chap
 
Back
Top Bottom