PCCB yawafikisha mahakamani maafisa wa TFF

PCCB yawafikisha mahakamani maafisa wa TFF

Mwanagandila

Senior Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
182
Reaction score
100
Maofisa wa TFF, Martin Chacha na Juma Matandika leo wamepandishwa Mahakama ya Kisutu kusomewa mashitaka ya kuomba rushwa ya sh 25 milioni kwa timu ya Geita.
 
Malinzi pia anapaswa kushughulikiwa kwa upangaji wa matokeo na wizi wa pesa za umma shirikishoni.
 
Back
Top Bottom