Mwanagandila Senior Member Joined Oct 9, 2011 Posts 182 Reaction score 100 Nov 9, 2016 #1 Maofisa wa TFF, Martin Chacha na Juma Matandika leo wamepandishwa Mahakama ya Kisutu kusomewa mashitaka ya kuomba rushwa ya sh 25 milioni kwa timu ya Geita.
Maofisa wa TFF, Martin Chacha na Juma Matandika leo wamepandishwa Mahakama ya Kisutu kusomewa mashitaka ya kuomba rushwa ya sh 25 milioni kwa timu ya Geita.
O Odili JF-Expert Member Joined Feb 8, 2015 Posts 1,771 Reaction score 1,387 Nov 9, 2016 #2 Malinzi pia anapaswa kushughulikiwa kwa upangaji wa matokeo na wizi wa pesa za umma shirikishoni.