Pcm na pcb kwenye physics

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,090
Wana janvi kunatetesi kwamba wanafunzi wengi wanaosoma mchipuo wa PCM wanakuwa wanaweza sana Somo la Physics kuliko wale wa PCB je kuna ukweli wowote? Kama kweli unafikiri ni kwa nini?NAKARIBISHA MAWAZO.
 
chukua watu kazaa wanaosoma pcm na wengine wanao soma pcb ukiwauliza unaweza pata hints
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…