PDF lawapoteza maboya CHADEMA

PDF lawapoteza maboya CHADEMA

Chadema hatumtaki Mboe. Anafosi kubaki kuwa Mwenyekiti wa maisha
 
CHADEMA tuna mambo mengi mbele yetu kuna UCHAGUZI mambo mengine tutuyaongelea baada ya Uchaguzi Mkuu.

Hatutaki chochote kitutoe kwenye Focus.
Mnasindikiza wagombea wa CCM. Bora mngeenda kulima
 
CHADEMA tuna mambo mengi mbele yetu kuna UCHAGUZI mambo mengine tutuyaongelea baada ya Uchaguzi Mkuu.

Hatutaki chochote kitutoe kwenye Focus.
Kwa tume ipi?
 
Tunajua mumepanga kuiba kura za Uraisi lakini OLE WENU safari hii hao polisi ambao hawafiki hata elfu 20 na sisi Watanzania ni Milioni 60 sijui kama watatuzuia.
Watanzania wameona ATC, Nyerere (Stiglers Gorge) HEP, SGR, Hospitali n.k. Nani ahangaike na wasanii wa kisiasa?
 
Back
Top Bottom