Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Tatizo la kuingiza waswahili kwenye fani za uandishi ambao kiingereza kwao ni kigumu.
Daily News ya leo imetoa mpya kabisa.
Picha ya Mkuu wa Mkoa Tanga akipokea maandamano ya amani kupongeza uchaguzi.
Ati Daily News kwa kiingereza wanatafsiri kuna "peaceful protest of congratulations"- yaani maandamano ya kupongeza.
Mtu huyu anajiita mwandishi wa habari, tena gazeti la serikali!
Ni dhahiri mwandishi ni mswahili pure na heri akaandikie gazeti la kiswahili tu, kama watampokea!