Timor
Member
- Feb 4, 2009
- 48
- 32
Mambo haya yanatokea katika biashara za watu wengi binafsi lakini hili la Peacock Hotels linatisha,Awali wa yote mahusiano ya kingono baina ya mmliki hotel Joseph Mrangila Mfugale na wafanyakazi wa kike yanatisha na kutia aibu. Ni jambo la kusikitisha kabisa kuwa hotel hii inamilikiwa na kuendeshwa na mtu ambaye hakwenda darasani kabisa, akisaidiwa na watoto wake wenye hulka kama za baba yao. Sisi wafanyakazi wa kike tunapata mateso makubwa sana. Kwanza sharti ulale na baba halafu watoto nao wavinjari nawe kadri watakavyo.
Hali hii ni ya muda mrefu sana kiasi kwamba tumelalamika kila kunakohusika hakuna wa kutusikiliza.Maslahi kwa maana ya mishahara tunayoipata hapa ni midogo sana,tena makato yetu ya pesheni hayapelekwi kunakopaswa huku tukikatwa kila mwezi.
La kusikitisha tunalazimishwa kufanya ngono ili tusipoteze kazi. Ushahidi upo baadhi yetu wana watoto waliozaliwa na mafisadi hawa,Mwenyewe Bwana Joseph Mfugale, Mtoto wake Damas Mfugale, Mdogo wake Damas yaani Vitus na mdogo wake Joseph yaani Titus.Familia hii imetuzalisha kama wanyama wa porini,Hakuna huduma tunayoipata kwa ajili ya watoto zaidi ya mshahara wa mwezi tu.
Kwa ujumla maisha ya ajira katika hizi hotel ni ya kusikitisha sana.Watu wengi wenye elimu zao mahali hapa hawakai kabisa. Huingiza mguu na kutoka kwa kipindi kisichopungua mwezi mmoja.
Ujanja anaoutumia baada ya kuona janja zao zimefahamika ni kuwatumia wafanyakazi wa kigeni toka Kenya, A.Kusini, Zimbabwe, Uganda nk, Hata na wao hawakai muda wakiwagundua ufisadi wao.
Lakini jambo jingine ni ufisadi wa kuiibia serikali kodi hesabu zinazotolewa hapa Peacock siyo za kweli, Kwani katika mfumo wa Computer kuna Peacock One na Peacock Two.Moja ndo ya kuonyesha TRA na nyingine ndo halisi mapato yanayopatikana.
Naomba wana-JF NJOONI HAPA Mnazi mmoja au Millenium Tower niko tayari kuwapa data zenye details zote za hawa mafisadi mkazifanyie kazi .

Last edited: