mmmhpole ya nini banaa. wewe hit then run
Vyote vya wezekana kupeana pole lakini inakuja wakati unampa mwenzio pole lakini hata kukujibu hakujibu so whats the point of saying pole? bora kimya kimya tu
1.kama mechi mmecheza vizuri na mmefunga magoli ya kiufundi kabisa.....baada ya mechi ni..'' asante sana sweet''
2.kama umecheza rafu,au mmechezeana rafu mbaya....baada ya mechi ni........''.pole sweet''
U can say dat again pretty............Inakuwaje pole tena, mie ninavyojua lile tendo ni la kupeana raha hivyo neno ahsante linastahili na si pole.
Useme pole kwani mmeumizana?