Peaneni pole baada ya tendo la ndoa

1.kama mechi mmecheza vizuri na mmefunga magoli ya kiufundi kabisa.....baada ya mechi ni..'' asante sana sweet''
2.kama umecheza rafu,au mmechezeana rafu mbaya....baada ya mechi ni........''.pole sweet''

I agree with you, these are the right words to say to each other.
 
1.kama mechi mmecheza vizuri na mmefunga magoli ya kiufundi kabisa.....baada ya mechi ni..'' asante sana sweet''
2.kama umecheza rafu,au mmechezeana rafu mbaya....baada ya mechi ni........''.pole sweet''
rafu ina maanisha nini?
 
Poleni....Mie naona hata hii ya kupeana pole baada ya kazi ni ya kiswahili tuu... kwanini umpe mtu pole akirudi kazini?
 
 
mie nikipewa raha husema asante ..............na asipoisikia anajua leo hajafanya kazi ya kutosha, lazima baada ya hapo aongeze ujuzi! holla
 
 
No name u r so .......
I am still finding the right words.........
 
Mimi huwa napenda kuambiana ukweli......
Kama performance haikuwa nzuri bora mwanamke aniambie tu ukweli...
In a nice way like .....sweetheart leo vipi....???????

Kama nimempa dozi ya kutosha basi naapenda kuambiwa.....
Like ......duh....mpenzi...yaani huku chini mwenzio kunawaka moto....lol
ha haaa haa
actually nilikuwa na mrembo aliyekuwa naniambia hivyo....

Like mpenzi leo ulinipania nini.....naona sio mchezo....

Na mimi nilikuwa namjibu like ....
Kama kunawaka moto....basi tuite fire..waje kuzima....lol
ha ha ha.........
 

Ha ha ha. Nafikiri si pole bali ni asante darling/mpenzi/honey/water melon/carrot, (you name all lovely names or terminologies) kwa kunifurahisha mno leo. I love you! Anza leo, utaona mabadiliko sana katika tendo la ndoa na mke/mume wako.
 
Ahaaa pdiddy, kwa nini usiseme aksante kwa kunipa raha? Ngono ni tamu mkuu so tuambiane aksante kwani mwanamke akikupa ile kitu yake anayoficha na wewe ukakojoa uhai wako ni wa kumshukuru sana. Hata mke nae aseme aksante kwa kumpeleka mahali pazuri.
 
Unasema pole kama umemumiza mwenzako yaani ikiwa ruff sana lakini never ahsante ! Kwani ni soup umekunywa ndiyo unasema ahsante.Nifikisha tuu hiyo ahsante tosha! Ngono inataka action sio maneno mengi!

Hiyo ndio maneno...
 
Lazima uapreciate kile unachofanyiwa na umpendae na tabia ya kumaliza sex mkaangalia ukutani mkome,maana yake nini!! Mbona mnapokuwa hamjaanza unamlalia hata kifuani bwana?

Ahsante ni muhimu na ni wajibu,lazima tuwe wakweli. Mwenzio anajisikia raha na kama hujafurahi basi mweleze ili ajirekebishe-kuweni wa wazi na kwa mtindo huu tutaushinda ukimwi,cyo unaenda kutafuta mtu mwingine kama subtitute!!
 
mm nafikiri bora kupeana hongera kwa kazi nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…