Peanut butter

Joined
Oct 13, 2018
Posts
58
Reaction score
31
Wakuu naomba mwenye utalamu wa kutengeneza peanut butter aniambie Kati ya karanga nyeupe na nyekundu ni ipi nzuri kutengeneza peanut butter?

Katika kuifanya iwe nyepesi kidogo mafuta ya alizeti yanafaa?

Je, uki pack bila kuongeza preservatives. Stabilizers ikawa 100% peanut butter itakaa muda gani bila kuharibika.

Ni hayo tu, nataka nifungue kiwanda
Kindogo Cha peanut butter.
Thanks.
 
Tafuta wajasiriamali wanaotengeneza hizi products ukajifunze kwao.
Tena itakufaidia kwa vitendo kabisa.kuanzia process za mwanzo mpaka mwisho kabisa.
Kama hujui pa kuanzia nenda dukani tafuta peanut butter bora angalia address yao kwenye kifungashio wapigie wakikubali nenda.
 
Ikifika hatua unahitaji karanga nyeupe ama nyekundu niambie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…