Peanut butter

tunu83

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
18
Reaction score
5
Wadau wa mapishi. Naomba mnisaidie jinsi ya kuweza kuandaa siagi ya karanga.
 
ByfarkhinaMahitaji1)Karanga kg 1/42)Asali kijiko 1.5 cha chakula3)Peanut oil au mafuta yeyote kijiko 1 na nusu cha chakula4)Chumvi 1/2 kijiko cha chai (kama peanut zake hazijakua roasted na chumvi)5)Chupa yenye mfuniko ya kigae (kwa kuhifadhia peanut butter yako)Namna ya kutayarisha1)ondoa maganda karanga zako2)Osha vizuri then weka zikaukevizuri3)Zioke katika oven dakika 30-35 minutes, moto 350F4)Subir zipoe kidogo then mimina karanga katika blender ama food processor...saga dakika 1 acha kidogo saga hadi iwe laini5)Ongeza asali,chumvi na mafuta saga hadi iwe laini...6)Hifadhi katika chupa yako then weka kwenye friji
 
Nitajaribu maana naipenda saana, never miss kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…