Pedal ya accelerator inachelewa kupokea moto

Pedal ya accelerator inachelewa kupokea moto

NUNEZ DIAZ

Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
85
Reaction score
115
Habari wakuu,
Nimenunua gari mwaka jana mwishoni but leo hii limeanza kitatizo kidogo inachelewa kupokea moto mpaka niikanyagie vizuri mpaka chini ndo inapeleka moto vizuri, shida inaweza kua nini wadau... Gari ni nissan juke.
 
Mkuu, kuna mengi ya kufahamu kabla ya kutatua changamoto inayo kabili gari yako, na ili gari itibiwe kwa ufasaha onana na mafundi/ wataalamu waliobobea karibu yako.

[emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema aina gari ili tujue ina accelerator ya umeme au ile ya kamba?
 
Habari wakuu,
Nimenunua gari mwaka jana mwishoni but leo hii limeanza kitatizo kidogo inachelewa kupokea moto mpaka niikanyagie vizuri mpaka chini ndo inapeleka moto vizuri, shida inaweza kua nini wadau... Gari ni nissan juke.
Gari uli import ama ulinunua bongo
 
Back
Top Bottom