bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,873 Apr 14, 2010 #21 babukijana said: he he shem hapana unajua wananifurahisha sana vijimambo vyao,mmh hiyo avatar vp?umekuja kivingine naona. Click to expand... nilidhani ni vizuri kushea na ninyi 'family potrait' yetu shem au?? anyway; haya majina bwana na umaarufu usipokuwa na akili na utulivu unaweza kufanya mambo mpaka watu wakajiuliza kweli huyu akili zake zimo?? kumbe mwenzao umelewa 'umaarufu'
babukijana said: he he shem hapana unajua wananifurahisha sana vijimambo vyao,mmh hiyo avatar vp?umekuja kivingine naona. Click to expand... nilidhani ni vizuri kushea na ninyi 'family potrait' yetu shem au?? anyway; haya majina bwana na umaarufu usipokuwa na akili na utulivu unaweza kufanya mambo mpaka watu wakajiuliza kweli huyu akili zake zimo?? kumbe mwenzao umelewa 'umaarufu'
Bibie Member Joined Jan 29, 2009 Posts 82 Reaction score 13 Apr 19, 2010 #22 Acheni uongo kawashugulikia akina nani zaidi ya huyo malaya Aunty Ezekiel???? Please usitudanganye. babukijana said: na kawashughulikia kwel kwel huyu jamaa kha. Click to expand...
Acheni uongo kawashugulikia akina nani zaidi ya huyo malaya Aunty Ezekiel???? Please usitudanganye. babukijana said: na kawashughulikia kwel kwel huyu jamaa kha. Click to expand...
Bibie Member Joined Jan 29, 2009 Posts 82 Reaction score 13 Apr 19, 2010 #23 I bet she ain't that daftttttttt!!!!!! Bujibuji said: Akapime kwanza ukimwi... Asije muua mwenzake buree Click to expand...
I bet she ain't that daftttttttt!!!!!! Bujibuji said: Akapime kwanza ukimwi... Asije muua mwenzake buree Click to expand...
Chimo JF-Expert Member Joined Aug 31, 2008 Posts 714 Reaction score 361 Apr 20, 2010 #24 Mshamba saaana huyu jamaa nilipokuwa sijamjuwa awali nilimpatia heshima kubwa kumbe bonge la *****