Hivi kwenye familia nani mwenye jukumu la kununua pedi kwa ajili ya binti!
Baba au mama?
Kama ameyaanza hayo madudu basi anunuliwe na huyo aliyemuoa kinyemela, si wameamua kujiozesha basi wahudumiane,Bado sijaona aliyesema boyfriend ni mmejisahaulisha au?
NakaziaKama ameyaanza hayo madudu basi anunuliwe na huyo aliyemuoa kinyemela, si wameamua kujiozesha basi wahudumiane,
wote wawili,,ila kwa heshima baba hutakiwi kununua na kuja kumkabidhi binti,,we nunua njoo mpe mkeo amkabithi,,au km vp mpe pesa binti mwambie za matumizi yake madogo madogo ya mwezi mzima,,yy atajipangilia mwenyeweHivi kwenye familia nani mwenye jukumu la kununua pedi kwa ajili ya binti? baba au mama?