Pedi zenye ubaridi, kiafya hazina madhara?

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Kuna hizi pedi zina ubaridi ubaridi flani hivi, ukivaa nyeti zinakua kama zinapulizwa, kama zinavutwa, kama zimepakwa pipi kali....
Hivi kiafya hazina madhara kweli? Moja wapo ni hii HQ
 
Kuna hizi pedi zina ubaridi ubaridi flani hivi, ukivaa nyeti zinakua kama zinapulizwa, kama zinavutwa, kama zimepakwa pipi kali....
Hivi kiafya hazina madhara kweli? Moja wapo ni hii HQ
View attachment 645011
Kuna uzi humu walileta wanawake wenzako wakisema zinabadili mzunguko wa hedhi. Usearch utaupata. Ningekusaidia lakini utu uzima umeingia.
 
Vitambaa tu ndo salama. Kitambaa unafua unanyoosha. Pedi hamna salama hata moja. Sasa kama hadi ina expire date manake si kuna vitu vimewekwa ili isiexpire kwa muda mfano mwaka.
Ila kitambaa kina expire? Labda kichanike
 
Mabibi zetu mbona hawakuvaa pedi, walikua wanachana vipande vya kanga ilioisha tu, au majani ya mgomba, ngoma walete [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Ahaaa kumbe zinabadilisha ntaacha kutumia Mara nyng mzunguko wangu unabadilik na nikiend hocp wananiambia unabadilisha San hali ya hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…