Pedicure na manicure: Hatari sana kwa ndoa zetu na mahusiano kwa ujumla wake!

siku nyingine hii kazi uje unifanyie nyumbani baba watoto akisafiri,kijana-teh teehe teehe usihofu dada.vbinti--akuu afu hilo jina la dada me sipendi kusikia
teh teh teh teh.................. jina la dada ndo sipendi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

shida yako na huyo mkeo sio pedicure, jifunze kumfanya vyema
 
Kwa mtazamo wa haraka nimeona wanawake wanapenda kuhudumiwa na wanaume na wanaume wanapenda kuhudumiwa na wanawake.
 


hii nayo... wamekuja mjini kusuka sio kulinda na kuuza dawa.. ila hawa jamaa na stail yao ya nywele ni profesional au?

Sikutishi mji haufai,wamasai hawachungi ng'ombe,huku wanalinda magari washaiba dili ya ya wamakonde mji ulivvyokuwa nishai,siku hizi hawawindi simba wanasuka dada zetu mji ulivyokuwa nishai,huwezi kuwa mtu usipokuwa na dili ya mkwanja..AY/FA
 
Mmh! Wachokozi sana wale, tena wengine washnzy huwa wanatekenya kwenye miguu. Kuna mmoja nilimpa bonge la sonyo na konzi juu. Hadi leo ana adabu.


..eee molaaa... Kumbe kweli.
 
binafsi cfanyi kitu kama iyo,...labda iwe nimeshauriwa na doctor hospitali...

Mimi pia sifanyi unless nina lengo zaidi ya unadhifu - kwa nini nijiingize katika vishawishi bila kukusudia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…