Pegasus house

Pegasus house

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Kuna hii company inaitwa Pegasus House ipo Kariakoo; inapeleka watu abroad kw trips kw exposure for business etc and cheap price; before sijapoteza hela; Nataka ushauri wenu km hawa watu wapo legit. Plz niambieni mnalojua
 
Kuna kampuni nyingine Kama hiyo nadhani ni matapeli.
 
Kuna hii company inaitwa Pegasus House ipo Kariakoo; inapeleka watu abroad kw trips kw exposure for business etc and cheap price; before sijapoteza hela; Nataka ushauri wenu km hawa watu wapo legit. Plz niambieni mnalojua
Hakuna wa kukupeleka huko, kukbuka huko siyo Ngorongoro. Issue inaanza na wewe, je una vigezo vya kwenda? I mean mchakato wa kuomba visa unakuhusu wewe as an individual.
Wanapokupigia hela hao ni invitation letter tu, ambayo utaitumia kwenda kuomba visa, lakini swala la visa ni lako wewe na consulate, sanasana wakusaidie kujaza form ya maombi tu.
 
Unataka kwenda wapi kwanza. Huenda kuna njia rahic na ya kuaminika tukuelekeze
 
Hakuna wa kukupeleka huko, kukbuka huko siyo Ngorongoro. Issue inaanza na wewe, je una vigezo vya kwenda? I mean mchakato wa kuomba visa unakuhusu wewe as an individual.
Wanapokupigia hela hao ni invitation letter tu, ambayo utaitumia kwenda kuomba visa, lakini swala la visa ni lako wewe na consulate, sanasana wakusaidie kujaza form ya maombi tu.
Yaani zinakuwa km business fairs Ivi wanaenda watu wengi km kundi
 
Back
Top Bottom