Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Hakuna wa kukupeleka huko, kukbuka huko siyo Ngorongoro. Issue inaanza na wewe, je una vigezo vya kwenda? I mean mchakato wa kuomba visa unakuhusu wewe as an individual.Kuna hii company inaitwa Pegasus House ipo Kariakoo; inapeleka watu abroad kw trips kw exposure for business etc and cheap price; before sijapoteza hela; Nataka ushauri wenu km hawa watu wapo legit. Plz niambieni mnalojua
Unataka kwenda wapi kwanza. Huenda kuna njia rahic na ya kuaminika tukuelekezeKuna hii company inaitwa Pegasus House ipo Kariakoo; inapeleka watu abroad kw trips kw exposure for business etc and cheap price; before sijapoteza hela; Nataka ushauri wenu km hawa watu wapo legit. Plz niambieni mnalojua
Yaani zinakuwa km business fairs Ivi wanaenda watu wengi km kundiHakuna wa kukupeleka huko, kukbuka huko siyo Ngorongoro. Issue inaanza na wewe, je una vigezo vya kwenda? I mean mchakato wa kuomba visa unakuhusu wewe as an individual.
Wanapokupigia hela hao ni invitation letter tu, ambayo utaitumia kwenda kuomba visa, lakini swala la visa ni lako wewe na consulate, sanasana wakusaidie kujaza form ya maombi tu.
YesYaani zinakuwa km business fairs Ivi wanaenda watu wengi km kundi