Pele na upayukaji wake dhidi ya baba yake Messi

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
King Messi's goals by body part....Pia goli la mkono๐Ÿ‘Š wamesahau kuliweka

Kama mnakumbuka wiki kadha zimepita, yule babu TAAHIRA mwenye Domo chafu kama jinsi lilivyo lenyewe/Pele... mara nyingi amekuwa akimkosoa sana baba yake wa soka duniani/King Messi...naweza kusema huo ni upumbavu kabisa, yani ZEE ZIMA linaongea vitu visivyokuwa na maana halioni aibu! Kishaona Messi sio wa level yake, na hafanani nae hata kidogo... Dah Hili ZEE lina chuki na wivu kwa Messi sijapata kuona pumbavu kabisa ๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก

Maneno yenyewe aliyoyasema ni haya hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Chizi ni Chizi tu.
 
Dah.. watanzania tuna tabu sana ss umekuja kwa hasira namna hyo km umefanywa nn cjui co Pele wala mesi wanaojua km kuna kinchi kinaitwa Tanzania kuna kakiumbe kamekasirika Pele kumszungumzia vibaya Messi in short hzo ni shobo laiti ungekuwa wa kike ww.......
 
Imeekuma sio! Habari ndiyo hiyo mkuu....zee zima lina mambo ya kike...kwanza asijifananishe na Messi hata kidogo, sio hadhi yake.
Una mtoto?

Wewe ni nani wakuniuliza hilo swali!
 
Imeekuma sio! Habari ndiyo hiyo mkuu....zee zima lina mambo ya kike...kwanza asijifananishe na Messi hata kidogo, sio hadhi yake.

Wewe ni nani wakuniuliza hilo swali!
Mm binafsi ni shabiki wa messi ila nimeshindwa kuelewa hii panic unaitoa wp? au wataka tujue kuwa unampenda sana Messi? maana moto uliokuja nao sio mchezo punguza shobo bro!
 
Mm binafsi ni shabiki wa messi ila nimeshindwa kuelewa hii panic unaitoa wp? au wataka tujue kuwa unampenda sana Messi? maana moto uliokuja nao sio mchezo punguza shobo bro!

Sio hivyo kamanda wangu, huyu mzee amezidi kumkandia Messi...ameshaona amemzidi mbali ndiyo maana anatafuta kila njia ya kumkosoa ili aonekane si chochote. Kaniudhi sana huyu babu....
 
Yule aliyecheza mpira huku kukiwa hata sheria ya kuzidi haipo

Hahahaaa hata offside kipindi hicho kulikuwa hamuna...so walikuwa wanajifungia holelaholela tu. Na ndiyo maana yakafika magoli 1000. Kipindi hicho Messi angelikuwepo angepiga hata 5000 goals na world cup 6.
 
Sio hivyo kamanda wangu, huyu mzee amezidi kumkandia Messi...ameshaona amemzidi mbali ndiyo maana anatafuta kila njia ya kumkosoa ili aonekane si chochote. Kaniudhi sana huyu babu....
Tatzo umri jifunze kuishi na wazee la sivyo siku utagombana na baba yako kisa kumvunjia heshma babu yako akili zao huwa haziko sawa to me Messi is the only king i know!
 
Haha haha haha haha jamaa alikuwa anapiga story na kipa mpira ukija anajifungia tu sasa hivi huo ujinga haupo
Hahahaaa hata offside kipindi hicho kulikuwa hamuna...so walikuwa wanajifungia holelaholela tu. Na ndiyo maana yakafika magoli 1000. Kipindi hicho Messi angelikuwepo angepiga hata 5000 goals na world cup 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ