WameshamtimuaKwa matokeo wanayopata westham katika ligi kuu ya uingereza ni wazi siku za huyu kocha wa zamani wa man vity Manuel Pellegrini zinahesabika mno
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Westham walikosea sana kutomsajili ngasa enzi zile sasa matokeo yake ndio haya
Wangekua tayr wameshachukua angalau EFL na EPL na wako mtoano kwenye UEFA dhidi ya Real madrid!Westham walikosea sana kutomsajili ngasa enzi zile sasa matokeo yake ndio haya