Pemba island hotel

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83


wenzangu na mimi hapo ni 'no entry'
 
Dah sasa wanandoa wakienda huko waende na vyeti vya ndoa au? Na je hawajui kabla watu hawajawa wana ndoa wana anzia kwenye stage ya urafiki?
 
hata kondoa hiyo ipo ila uzuri wa kondoa room cheap kwa hiyo kama uko na thermometer yako wakikomaa mnarent room tofauti then mmoja wenu anavacate kiurahisi kama unasukuma mleve wa boha au mnazi
 


wenzangu na mimi hapo ni 'no entry'

Kukosekana kwa mabango kama haya kumesababisha yafuatayo:
1. Kuongezeka kwa nyumba za kulala wageni maeneo ya wakazi/ mafichoni.
2. Kushamiri kwa biashara ya ukahaba.
3. Ngono zembe na hatimaye watoto wa mitaani na kukua kwa gonjwa la UKIMWI.
4. Umasikini kwa watu kuelekeza matumizi yao kwenye starehe ya ngono.
5. Makazi duni (mf.Sinza) ambapo watu wanageuza nyumba za kuishi kuwa guest houses bila kubadili mfumo wa maji taka matokeo yake ni vyoo kuziba.
6.
7............
Naomba wanajamvi muongezee kwenye hiyo listi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…