Uchaguzi 2020 Pemba: Mkutano wa Maalim Seif viwanja vya Mapofu, Wingwi

Wakavuluge kwa baba yao uko Yani kwa umri huu nilionao nimuogope mtu? Yani Kuna mtu nitamkata makofi mpaka atoamini
 
Mwaka wa Historia...
Wenyewe wakijutana,hats hawasalimiani Sasa,wanabaki kulaumiana,imekuwaje tumefika huku?Halafu wote hawana majibu,kuwa saidia.Waende kwa wapiga kura na wimbo was Uhuru,haki na maendeleo.
 
Umehamia kwa Mzee Seif, baada ya mgombea wako kuahidi kuwa atahakikisha Tanzania na watanzania wanarudi katika enzi za ukoloni! Poleni!
 
CCM Zanzibar wanategemea hiyo siku ya mwanzo ya kupiga kura, hapo ndio goli la ushindi. Sasa suali maamuzi gani ya kuchukua.
 
Mgombea wa CCM nasikia anazunguka tu mjini Hana jipya
Leo wana mkutano wao huko kwenye ngome yao Makunduchi ambapo wamechokwa tayari. Kuficha aibu kama kawaida yao, wamekusanya wana CCM Unguja nazima, wengine wametoka bara na kupelekwa huko. Gari zimekodiwa na kutiliwa mafuta kutoka kila pembe ya kisiwa ilimradi tu waonekane wana watu wengi kumbe ni vijana wasiopiga kura na wanaokwenda kupiga drift kwa mafuta ya bure 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…