Pemba ni Noma! Soma hapa kabla hujaenda na mbuzi/kiburudisho chako Pemba

Ati hawajazuia mume kwa mume?!!! Kweli pemba kiboko!
 
Inamaanisha watu tuwe tunatembea na vyeti vya ndoa kila sehemu? By the way, ndoa za kimila hazina cheti. Sasa sijui itakuaje hapo.
 
ni cheti cha ndoa mkuu...cha kushangaza ni kwamba vile vyeti haviwekwi picha za wanaondoa...vipi kama nikitaka kuchakachua nikakwapua vyeti home nikatinga navyo ili hali sio wanandoa halisi? nawakilisha tu mkuu

Hili nalo neno!!!!
 
kweli wanapata profit kwenye business yao!!🙂
 
Wanaingilia sana mambo binafsi, nani asinywe kinywaji(beer), yaani mi na hela zangu unataka nilale bila kunywa....thubutu...!!!!!!!!!
 
Kinachochekesha ni kuwa guest hawaruhusu ,lakini mitaani utakuta watu wamepanga vyumaba ambavyo huvitumia kujistarehesha tu, coz guest no access

Umeona eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…