issa yurry
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 626
- 818
Unajua kama huyo shemegy unae mkusudia ni Dada ake baba ako kwahiyo ww itakua ni shangazi yako kwahiyo uko tayari kutembea na shangazi yako kama mzee wa jalalani alivo shikiliwa akili lumumbaAkienda kwenye maandamano au kulianzisha dude amuache shemeji yetu nyumbani walau tuje tufaidi kidogo kuliko kupata hasara maana lazima akafie huko na ukoo wake utakuwa umesimama hvyo tutamsaidia kuuongeza ukoo wake.baba nenda baba sisi tupo nyuma ya mkeo
Wanakaribishwa waache waje, hizi sio zama za mkapa watu wamejipanga.Baadaya ya kukata vichwa watu na bado mkatawaliwa kama mwali.......nawasihii tulieni maana hasa hivi hata mkitaka kunya au kula mavi bado mtatawaliwa tu.......tena watu wanao kuja uko sasa hivi wanakuja na mafuta ya minara au vasseline......... shughuli mtaiona
Hio ilikuwa ni kulipiza kisasi mkuu sio kama walianza. Na yuko mmoja baada ya kuuwa pemba akasafirishwa kupelekwa Tanganyika ili akapewe cheo. Lakini hakufika alimalizwa mjini Unguja. Acheni kuchafua amani kwa makufusudi hakuna anaependa vurugu lakini ENOUGH is ENOUGH.Waliotenda ujinga huo wapo?? Baada ya hapo walikufa wangapi? Usiongee ujinga ukiwa umejificha nyuma ya keyboard!
Sasa kama huwezi kujaza Fomu unataka nani akusaidie?Hio ilikuwa ni kulipiza kisasi mkuu sio kama walianza. Na yuko mmoja baada ya kuuwa pemba akasafirishwa kupelekwa Tanganyika ili akapewe cheo. Lakini hakufika alimalizwa mjini Unguja. Acheni kuchafua amani kwa makufusudi hakuna anaependa vurugu lakini ENOUGH is ENOUGH.
Anayefanya vurugu ni hao wananchi au hao watendaji wa tume? Ulishaona wapi Bara na visiwani wa kuenguliwa ni wagombea wa vyama vya upinzani peke yao? huko ccm kuna malaika watupu?Unafurahia kufanya vurugu!...kinukisheni lakini msije makajutia
Kwani kujaza fomu ya ubunge ni mtihani! Jaza inavyotakiwa kama kukatwa tume itakukata tu na ikikusamehe huikwepi kwenye kutangazwa mshindi.Tatizo kwani ni nini?? Kama tatizo ni kushindwa kujaza fomu basi wa kulaumiwa ni ACT wenyewe kwanini hawakuwafundisha jinsi ya ujazaji wa fomu watu wao??
Kwa akili zako unaona hayakuhusu!!!Huo ujumbe wafunulie Pemba wanapotaka kumwaga damu
Kuwa na rafiki au jirani wa aina yako ni sawa na kuishi na "nchawi mla nyama za watu"Wanafikiri kikinuka watakimbilia ulaya tena kama kipindi cha mkapa
Mungemuengua Magu alieshindwa kupeleka passport size.Sasa kama huwezi kujaza Fomu unataka nani akusaidie?