Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Bermuda Triangle, ambayo pia inajulikana kama Devil's Triangle, ni eneo la magharibi wa bahari ya Atlantiki ya kaskazini ambapo idadi kubwa ya ndege na vyombo vya baharini vinanadaiwa kutoweka katika hali isiyojulikana ambayo haiwezi kuelezewa kama makosa ya binadamu, uharamia, hitilafu ya vifaa, au au maafa ya kiasili. Tamaduni maalufu zinahusisha kutoweka huku na jambo lisilo la kawaida ambalo haliwezi kuelezewa kwa njia za kisayansi, kutanguliwa kwa sheria za fizikia, au shughuli za viumbe visivyo vya kawaida.
Nyaraka nyingi hufunua, hata hivyo, kwamba sehemu kubwa ya madai ya matukio haya ya kidude hayajaripotiwa kwa makini au baadaye kulembeshwa na waandishi, na mashirika mbalimbali rasmi yamesema kwamba idadi na aina ya kutoweka katika eneo hili ni sawa na eneo lolote la bahari
Mipaka ya pembetatu imetanda hadi kwenye Straits ya Florida, Bahamas na eneo zima la kisiwa cha Karibiani na mashariki ya Atlantika hadi Azori; wengine huiongeza hadi kwenye Ghuba ya Meksiko. Mipaka inayojulikana sana ya pembe tatu katika kazi za uandishi ina ncha zake mahali fulani kwenye pwani ya Atlantiki Miami, San Juan, Puerto Rico, na Atlantiki ya katikati ya kisiwa cha Bermuda, huku ajali nyingi zikitokea kando ya mpaka wa kusini karibu na Bahamas Straits ya Florida.
Eneo hili ni mojawapo ya njia zinazotumiwa sana na meli ulimwenguni, huku meli zikivuka eneo hili kila siku ili kwenda bandari katika Amerika, Ulaya, na Visiwa vya Karibiani. Meli za vinjari pia ni nyingi,na dau za raha mara kwa mara hupitia hapa kwenda kati ya Florida na visiwa. Pia ni njia inayopitiwa sana na ngege za kibiashara na kibinafsi zikielekea Florida, Karibiani, na Amerika ya Kusini kutoka kwa pointi zilizoko kaskazini.