Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,229
jamani ivi tembo wamebaki wangapi? Hahaha duh vya ardhn vinakaribia kuisha vyote mfano tanzanite, wanyama duh. Mwisho hadi meno ya mbwa yataunzwa. Wakifanya maskini ni kosa. Kama vp vgawanywe wasile wa juu peke yao