WANAJF,
The Citzen TV ya Kenya katika taarifa yake ya habari ya saa 3 usiku imeonyesha kwamba kuna shehena kubwa sana ya PEMBE za NDOVU imekamatwa katika bandari ya Mombasa ikiwa inasafirishwa kwenda Indonesia. Na wamesema kwamba, uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba hizo pembe za ndovu zimetoroshwa katika nchi jirani na Kenya.
Wasiwasi wangu ni kwamba si ajabu hiyo nchi ya jirani ikawa Tanzania, kwani sisi ndiyo tuna idadi kubwa sana ya wanyama kuliko majirani wengine wa Kenya.