pembe za tembo

pembe za tembo

Freightliner

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
720
Reaction score
527
kwa anaejua nchini Tanzania naweza ziuza wapi na bei zake zikoje..nimezidaka mahali flani nje ya Tz mwenye kujua soko japo najua hatari
 
Naona umechoka kuishi uraiyani mkuu,kapige ripoti polisi uwe salama
 
Naona umechoka kuishi uraiyani mkuu,kapige ripoti polisi uwe salama
K.U.M.A.N.Y.O.K.O
Naona maisha yamekushinda. Japo unatumia Alias lakini nakuhakikishia kuwa lazima utiwe mbaroni we leta masihara na mambo ya msingi.

Kisa unatafuta likes na coments ndo unapost Usen..nge kama huuuu??
 
Hadi sasa hivi inajulikana ww ni Mwanafunzi wa UDOM
Bado uchunguzi unaendelea. Shenzy kabisa.

Kwa usalama wako omba Mods wafute huu uzi. Pia iso pembe peleka kituo cha polisi fastaaaaa
 
kwa anaejua nchini Tanzania naweza ziuza wapi na bei zake zikoje..nimezidaka mahali flani nje ya Tz mwenye kujua soko japo najua hatari

Nipe namba yako ya simu na anuani tafadhali nikutajirishe haraka. Ninakuja na petrol, kiberiti, bunduki, mapanga, kukusalimia na kukuona.
 
Back
Top Bottom