Na kwa kuongezea tu
KakaJambazi, hawawezi ita ndovu peke.
Cheki hapa.
Kisawe cha neno Tembo ni Ndovu
Nyati ni Nyumbu
Treni ni Garimoshi n.k
KISAWE: Ni neno lenye maana sawa na maana yenyewe ila lenye kuandikwa na kutamkwa tofauti,na lenye maana hiyohiyo.
SOURCE:
Madame B