Pempas mpk vijijini hivi nepi hakuna tena

Pempas mpk vijijini hivi nepi hakuna tena

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Hello wanajf Leo nilikuwa kijiji msanga kwenye shughuli aisee nikapata kushangaa dukani nakuta pempas wanauza moja moja nikamuuliza muuzaji je zinatoka akasema mnoo watu awawezi kwa wingi wananunua moja moja tsh mia.aiseee nikasema hivi nepi tens ndio basi
 
Zamani pempas ilikuwa inauzwa kwa bunch 1
Mam--- sahv inachomolewa inauzwa moja moja
Kweli bongo duki nah

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
moja sh mia???! huku moja mia tano zile za chupi na zile za kufunga mia nne
 
Za bei chee hizo hazina ubora ni kama zile net za watoto. Neti za dukani ni nzuri na ubora wa hali ya juu ila za minadani vituko tupu na bei rahisi
Huwa nawazaga zinakuwaga na ubora kweli hizo rafiki? Au ndio wanauziwa ilimradi tu.
 
Back
Top Bottom