SI KWELI Pen zinazotoa risasi kama Bunduki zinagawiwa na kuuzwa kwenye Shule za Tanzania

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mwenye izopeni aniuzie jamani juzi nimetaitiwa na vibaka saa nne tuu za usiku nkajidai kujisalimisha nkawapa kwanza simu ile wanataharuki nilitoka nduki sijawahi tena...laiti ngekuwa na hiyo peni mbwa wale wangenikoma!!
 
Hilo jamaa tapeli tu
 
Kumbe wewe jamaa you also think the same πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€β˜ΊπŸ˜«
Yes, I do.
Wewe jaribu tu kufikiria kwamba, kama viroba vikubwa vya zaidi ya kilo 200 vya madawa ya kulevya aina ya Cocaine au Heroine vimeweza kupitishwa kwenye mipaka ya nchi na kuingia ndani ya nchi hii, Je, inashindikana nini kupitisha Silaha yenye umbo dogo kabisa kama hiyo iliyoonyeshwa kwenye video???
 
Upo sahihi
 
Urusi nafikaje tena mkuu Dar kwenyewe sijawahi fika!
Afu hizo nchi washazoea vita so nadhani kwao wanaona kawaida sana

Hizo kalamu sio salama asee

Cc Smart911
Hata hivyo hawazigawi bure au hovyo e.g. mashuleni n.k. Hizo ni silaha mara nyingi hutumiwa na watu walio kwenye mashirika ya kijasusi au watu maalum e.g. makomandoo n.k.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…