SI KWELI Pen zinazotoa risasi kama Bunduki zinagawiwa na kuuzwa kwenye Shule za Tanzania

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hii bado inaendelea mbona Mkuu wa shule alikanusha vibaya na Jf check pia?

Halafu kweli shule hata mandazi hawagawi bure ila wana uwezo wa kugawa pistol
Yaani tuna teknolojia ya kuweza kutengeneza pistol na kugawa bure ila jembe tumeshindwa kubadili
 
Hio gharama yake si chini ya 1.5M πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unadhani kuna mtu wa kumpa mtoto wako 1.5M kizembe hivyo ?
Swadaktaaaa
Ukitumia common sense vizuri huwezi kuamini huu uzushi
 
M nikiona mtu anaamin vitu kama hiv naonaga ni ana mental problem, yan kitu cha kureason dakika 2 nakujua ni impossible yeye anashupalia, kama huyo mdada anaeweka hadi sauti, ni wakukamata na kufunga
Hao ndiyo wafuasi wa manabii. Wanaamini hata visivyo na mantiki.
 
Wewe ulieleta hii habari hapa tuwekee namba ya huyo mwalimu tumhoji maana ninayomaswali mengi.
Ila swali kama ifuatavyo.

Unadhani kama hiyo shule kweli ingekuepo siingebidi uongozi uwekwe nyuma ya geti ili usaidie polisi?
Au tunajuaje kama ni ajenda ya kuchafua shule tajwa?
Kwani huyo anaesambaza hizo toi anapata maslahi gani?
Je wameshapigwa wanafunzi wangapi na waliofariki ni wangapi?
 
Sasa nikupe namba ili iweje mkuu wkt hapo hapo unasema jina la shule limetajwa inaweza kuharibu biashara ya mtu?.

Why usijiongeze kuitafuta hiyo shuke ilihali imetwajwa na huyo mzazi?.
 
Yaani unagawa ndogo halafu Lawama Zote Kwa John?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…