Penalty za Simon Zaza

Watanzania lazima Waige hii kitu ya kuchekesha
 
Duhh jamaa amejipatia umaarufu sana!
 
Naona Uefa wameipiga pin video clip

 
Kocha Conte alimuingiza Zaza dakika za majeruhi ili aje kumaliza kazi kwenye penati ila Zaza akafanya madudu ambayo hata wachezaji wa Ndondo hawawezi kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…