Jiliwazeni tu ila kwa siasa chafu kabisa zinazofanywa na kinachoonekana Chama kikubwa cha upinzani nchini, hakuna kinachokwenda kubadilika zaidi ya CCM kuendelea kukaa madarakani. Rais Samia ataendelea kuongoza mpk awamu nyengine, atakuja wa CCM kuongoza atamaliza atakuja mwengine. Tundu Lissu/Mbowe au mpinzani yoyote awaye, anaweza kuiongoza Tanzania akiwa ndotoni tu. Kukicha ni CCM tu!!