Penati ya kinyumenyume...

Kadri nijuavyo,kufunga goli na mambo mengine kama hayo uwanjani, kunatakuwa kuwa katika njia ambayo haiudhalilishi mchezo wa soka.
 
Sioni sababu ya kocha kukasirika ilihali alipata goli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…