Penati zisikie kwa mwenzio. Zikiwa kwako znauma!

Sasa yanga waliacha kushambulia wote wakaamua kuwa mabeki walitegemea nini, kufika penati walitaka wenyewe ili waonekane hawajafa kizembe wamekufa kiume, wangekuwa hawataki kufika penati wangetafuta magoli ila badala yake wakaamua kuzuia tu kazi ya kufunga wakawaachia mashabiki
 
Walitafuta ndiyo maana walipata goli kali mpaka Motsepe akaogopa akasema hili goli hapana sio utamaduni wetu hapa Afrika
 
Sasa yanga waliacha kushambulia wote wakaamua kuwa mabeki walitegemea nini, kufika penati walitaka wenyewe ili waonekane hawajafa kizembe wamekufa kiume, wangekuwa hawataki kufika penati wangetafuta magoli ila badala yake wakaamua kuzuia tu kazi ya kufunga wakawaachia mashabiki
Mpira wewe ulisimuliwa hukuangalia. Mechi ya Dar Yanga kaongoza kupiga shots on target mechi ya Afrika kusini Yanga katengeneza ckear chances nyingi na moja wapo ikawa ni goli. Ila waamuzi wameamua kuifichia aibu timu ya raisi.
 
Mkuu tulikubaliana mpira ni magoli, mambo ya clear chances na on target hata simba waliwazidi al ahly ila hayajawasaidia na mliwadhihaki, mngekuwa mnatafuta magoli msingeishia kuotea na kupata goli lililohitaji mjadala
 
Kama kupata hilo goli la mjadala ni jambo jepesi mbona hao Mamelodi wamecheza dakika 180 bila kulipata hata hilo goli lolote lile hata la mjadala?
Usiongee tu kishabiki kama mchezo wa mpira wa miguu ni jambo lepesi kufunga. Ile goli limepatikana kwa kupambana na kuvimba haswa.
 
Na nyie kama mnadhani kupiga na kudaka penati ni rahisi mbona mlikosa sasa
 
Na mshabiki yupi wa Yanga uliyemsikia kuwa anatamba kuhusu kupiga penati? Nyie ndio uliyokuwa mnacheka Yanga hawajui kupiga penati mwisho wa siku malipo yake leo mmeyapata
 
Aaahas
 
Sasa yanga waliacha kushambulia wote wakaamua kuwa mabeki walitegemea nini, kufika penati walitaka wenyewe ili waonekane hawajafa kizembe wamekufa kiume, wangekuwa hawataki kufika penati wangetafuta magoli ila badala yake wakaamua kuzuia tu kazi ya kufunga wakawaachia mashabiki
once kifo ni kifo tu
 
Na mshabiki yupi wa Yanga uliyemsikia kuwa anatamba kuhusu kupiga penati? Nyie ndio uliyokuwa mnacheka Yanga hawajui kupiga penati mwisho wa siku malipo yake leo mmeyapata
Ni mshabiki yupi wa simba ulimsikia anawacheka yanga kuhusu kupiga penati, mjadala uliotikisa ni kuhusu uhalali wa lile goli wala hakuna aliyehangaika kujadili zile penati, hayo mengine mnatafuta sababu tu
 
Kama kupata hilo goli la mjadala ni jambo jepesi mbona hao Mamelodi wamecheza dakika 180 bila kulipata hata hilo goli lolote lile hata la mjadala?
Usiongee tu kishabiki kama mchezo wa mpira wa miguu ni jambo lepesi kufunga. Ile goli limepatikana kwa kupambana na kuvimba haswa.
Mamelod hawakuhitaji goli lenye mjadala maana lisingewasaidia chochote kama nyinyi ambavyo halijawasaidia badala yake mnaishia kuliomba kwa barua,
waliwaacha mkae nyuma mkipoteza muda wao walijua tu hata kama ni Penalty hawawezi kutolewa na Uto na kweli mkajaa mkaishia kupaisha tu
 
Kama kupata hilo goli la mjadala ni jambo jepesi mbona hao Mamelodi wamecheza dakika 180 bila kulipata hata hilo goli lolote lile hata la mjadala?
Usiongee tu kishabiki kama mchezo wa mpira wa miguu ni jambo lepesi kufunga. Ile goli limepatikana kwa kupambana na kuvimba haswa.
Nani amepita
 
Back
Top Bottom