Walitafuta ndiyo maana walipata goli kali mpaka Motsepe akaogopa akasema hili goli hapana sio utamaduni wetu hapa AfrikaSasa yanga waliacha kushambulia wote wakaamua kuwa mabeki walitegemea nini, kufika penati walitaka wenyewe ili waonekane hawajafa kizembe wamekufa kiume, wangekuwa hawataki kufika penati wangetafuta magoli ila badala yake wakaamua kuzuia tu kazi ya kufunga wakawaachia mashabiki
Kama lingekuwa kali hivyo lisingezua Mjadala wa kuhitaji VAR wala goal line technologyWalitafuta ndiyo maana walipata goli kali mpaka Motsepe akaogopa akasema hili goli hapana sio utamaduni wetu hapa Afrika
Mpira wewe ulisimuliwa hukuangalia. Mechi ya Dar Yanga kaongoza kupiga shots on target mechi ya Afrika kusini Yanga katengeneza ckear chances nyingi na moja wapo ikawa ni goli. Ila waamuzi wameamua kuifichia aibu timu ya raisi.Sasa yanga waliacha kushambulia wote wakaamua kuwa mabeki walitegemea nini, kufika penati walitaka wenyewe ili waonekane hawajafa kizembe wamekufa kiume, wangekuwa hawataki kufika penati wangetafuta magoli ila badala yake wakaamua kuzuia tu kazi ya kufunga wakawaachia mashabiki
MHhhHhh...hayaaaaMpira wewe ulisimuliwa hukuangalia. Mechi ya Dar Yanga kaongoza kupiga shots on target mechi ya Afrika kusini Yanga katengeneza ckear chances nyingi na moja wapo ikawa ni goli. Ila waamuzi wameamua kuifichia aibu timu ya raisi.
Penati sio mchezoUmebadilika ghafla?
Mkuu tulikubaliana mpira ni magoli, mambo ya clear chances na on target hata simba waliwazidi al ahly ila hayajawasaidia na mliwadhihaki, mngekuwa mnatafuta magoli msingeishia kuotea na kupata goli lililohitaji mjadalaMpira wewe ulisimuliwa hukuangalia. Mechi ya Dar Yanga kaongoza kupiga shots on target mechi ya Afrika kusini Yanga katengeneza ckear chances nyingi na moja wapo ikawa ni goli. Ila waamuzi wameamua kuifichia aibu timu ya raisi.
Kama kupata hilo goli la mjadala ni jambo jepesi mbona hao Mamelodi wamecheza dakika 180 bila kulipata hata hilo goli lolote lile hata la mjadala?Mkuu tulikubaliana mpira ni magoli, mambo ya clear chances na on target hata simba waliwazidi al ahly ila hayajawasaidia na mliwadhihaki, mngekuwa mnatafuta magoli msingeishia kuotea na kupata goli lililohitaji mjadala
Na nyie kama mnadhani kupiga na kudaka penati ni rahisi mbona mlikosa sasaKama kupata hilo goli la mjadala ni jambo jepesi mbona hao Mamelodi wamecheza dakika 180 bila kulipata hata hilo goli lolote lile hata la mjadala?
Usiongee tu kishabiki kama mchezo wa mpira wa miguu ni jambo lepesi kufunga. Ile goli limepatikana kwa kupambana na kuvimba haswa.
Na mshabiki yupi wa Yanga uliyemsikia kuwa anatamba kuhusu kupiga penati? Nyie ndio uliyokuwa mnacheka Yanga hawajui kupiga penati mwisho wa siku malipo yake leo mmeyapataNa nyie kama mnadhani kupiga na kudaka penati ni rahisi mbona mlikosa sasa
AaahasNa mshabiki yupi wa Yanga uliyemsikia kuwa anatamba kuhusu kupiga penati? Nyie ndio uliyokuwa mnacheka Yanga hawajui kupiga penati mwisho wa siku malipo yake leo mmeyapata
once kifo ni kifo tuSasa yanga waliacha kushambulia wote wakaamua kuwa mabeki walitegemea nini, kufika penati walitaka wenyewe ili waonekane hawajafa kizembe wamekufa kiume, wangekuwa hawataki kufika penati wangetafuta magoli ila badala yake wakaamua kuzuia tu kazi ya kufunga wakawaachia mashabiki
Ni mshabiki yupi wa simba ulimsikia anawacheka yanga kuhusu kupiga penati, mjadala uliotikisa ni kuhusu uhalali wa lile goli wala hakuna aliyehangaika kujadili zile penati, hayo mengine mnatafuta sababu tuNa mshabiki yupi wa Yanga uliyemsikia kuwa anatamba kuhusu kupiga penati? Nyie ndio uliyokuwa mnacheka Yanga hawajui kupiga penati mwisho wa siku malipo yake leo mmeyapata
Mamelod hawakuhitaji goli lenye mjadala maana lisingewasaidia chochote kama nyinyi ambavyo halijawasaidia badala yake mnaishia kuliomba kwa barua,Kama kupata hilo goli la mjadala ni jambo jepesi mbona hao Mamelodi wamecheza dakika 180 bila kulipata hata hilo goli lolote lile hata la mjadala?
Usiongee tu kishabiki kama mchezo wa mpira wa miguu ni jambo lepesi kufunga. Ile goli limepatikana kwa kupambana na kuvimba haswa.
Nani amepitaKama kupata hilo goli la mjadala ni jambo jepesi mbona hao Mamelodi wamecheza dakika 180 bila kulipata hata hilo goli lolote lile hata la mjadala?
Usiongee tu kishabiki kama mchezo wa mpira wa miguu ni jambo lepesi kufunga. Ile goli limepatikana kwa kupambana na kuvimba haswa.