Penda unachokifanya.

Ibrahimeliza

Member
Joined
Nov 25, 2020
Posts
37
Reaction score
26
Unajua kwanini watu wanasema upende unachokifanya ...?? Unajua...?? Au ushawahi kuulizwa au kusikia kauli hiyo....?? Kwasababu upendo au mapenzi pekee ndo unaweza kuvumilia kila kitu, mkeo au mmeo akiwa na kasoro au tabia fulani ambayo sio ya kupendeza utamvumilia tu, kwanini...?? Kwasababu unampenda ndomaana. Hii inafanya kazi katika kila sehemu namaanisha katika kila nyanja ya maisha ndomaana katika biashara unaambiwa fanya unachokipenda kwasababu ileile kwamba utaweza kuvumilia changamoto zake hata ukikutana na changamoto gani utaweza tu kuipa muda biashara yako na utaivumilia, jilazimishe kupenda kitu unachokifanya na ujilazimishe pia kupenda maisha yako.
#-+×÷##Sitoweza kukupenda kama hauwezi kujipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…