Pendekeza jina zuri la kuita njia ya mtaani kwangu niliyouziwa

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Kuna jamaa kaniuzia skwata bei chee sana! ikabidi ninunue!

changamoto kubwa eneo hilo kulikuwa hakuna njia ya kufika hapo kwangu!

Watu walikuwa wagumu sana kutoa hata mguu mmoja kwa ajili ya njia!

Imenibidi ninunue njia upana Mita nne yenye urefu Wa Mita 100!

Cha kushangaza hao hao walokuwa wanabania njia isiwepo, nao wameanza kuitumia njia hii waloniuzia kwa 12mil! kwa kunikomoa!

Lakini potelea mbali roho ya kimaskini haijengi mji! nimewaacha wapite Bure!

Naomba Pendekezo la jina zuri la kuita njia hii Nibandike kibao cha mtaa!

(
nataka jina lenye maana nzuri kwa mtaa)
 
Ujinga ni mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…